Mvua...

Sijui ndo zimeanza au ni ule mkondo wa joto la bahari upande wa Madagascar niliona kwa BBC Weather jana! TMA kimya! Hawa TMA nao ninadhani kuna haja ya wao kupewa vifaa vya kitaalamu zaidi.
 
Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!

Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....

mvua ya kichokozi hii.. Hainyeshi weekend, halafu inatafuta that specific day in a mid week where u got so many plans ndo inanyesha..
 
Hivi kwa nini mvua ikinyesha dar foleni pia inaongezeka.
 
Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!

Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....
Hizi data za mvua unastua watu !
Kuna jamaa zetu wametoroka Magwepande, wakisikia mambo ya mvua wanazeeka fikra ghafla .
 
Mie imeniboa sana,
Imenyesha siku niliyosahau kamwavuli kangu hm,
Ile kufika salenda ikaanza kumwagika yani tabu tupu!
 
Sisi tuliorudi jangwani tuanfunga vitu vyetu kuelekea Mabwepande!
 
Si wa mikoko10 ndio kabisa ukimpelekea mtu maji anakwambia aaah basi bwana nimekinga ya mvua labda kesho we acha mvua hatuipendi wengi
Kwa sisi wauza maji ya baresa huku kwnye mafoleni hichi kimvua kinatuboa kinoumer.
MP.
 
Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!

Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....
Mi binafsi naenjoy leo maana jiji lilishanichosha na joto hadi nkapamiss arachuga....I'm now happy
 
aise acheni inyeshe bana...
maana sim ninazopigiwa leo...
zinaashiria kua nahitajika sana leo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…