JAKOBO JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 934 Reaction score 194 Jan 28, 2013 #1 Nawasalimia wadau wote wa JF.Mimi nimdau mpya wa jamvi hili nikiwa Kigoma huku tulipovamiwa na majangiri na mafisadi.Naomba ushirikiano wenu ktk kufanikisha kupeana habari zenye tija kwa taifa hili la watanzania tuliokata tamaa!.Naomba kuwasilisha
Nawasalimia wadau wote wa JF.Mimi nimdau mpya wa jamvi hili nikiwa Kigoma huku tulipovamiwa na majangiri na mafisadi.Naomba ushirikiano wenu ktk kufanikisha kupeana habari zenye tija kwa taifa hili la watanzania tuliokata tamaa!.Naomba kuwasilisha
The Son JF-Expert Member Joined Jul 30, 2012 Posts 459 Reaction score 58 Jan 28, 2013 #2 Karibu jamvini.
NEGLIGIBLE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 354 Reaction score 92 Jan 28, 2013 #3 Karibu sana bwana jakobo.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 28, 2013 #4 Karibu sana JF...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jan 29, 2013 #6 Karibu JF mkuu.