Mvulana amnyonya matiti msichana kanisani

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
1,583
Reaction score
2,365
MVULANA AMNYONYA MATITI MSICHANA KANISANI

Nilikuwa kanisani, kuna mvulana na msichana walikaa jirani na mimi. Nikapigwa na butwaa kuona msichana anavuta blauzi yake na baadae sidiria na mvulana kuanza kunyonya chuchu utadhani hakuna watu waliokuwa wanawatazama, msichana alikuwa na miaka 28 na mvulana miezi 3.

Ahsante kwa kusoma,

Mungu akusamehe kwa mawazo yako machafu na potofu!

Nipo nyumbani kibiti, njoo unipige!
 

...Hii kila siku iko humu mtandaoni, hebu jaribuni basi kuwa wabunifu!! Tutajenga kweli viwanda kwa staili hii ya kukopi hata vichekesho simple hivi??
 
so uliandika ili isisomwe? lengo la bandiko lako ni nini kama si kusomwa? fxxxish

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Kuna msichana anae nyonyesha???
 
Wapo wanaofikiria kama somebody angenyonya na kumeza miaka kadhaa iliyopita, pengine tusingekuwa na awful jokes kama hizi leo.
 
Hii kali hata mimi nimekodoa mimacho
 
Heheheh nilikua nasema khahh dunia simama nishuke wallah...ht sodoma hawakufika huku
 
Unakaribia KIBITI wewe

Sent from my Infinix Zero 4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…