Mvulana wa Nepali ana urefu wa sentimita 70

Mvulana wa Nepali ana urefu wa sentimita 70

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Mvulana wa Nepali Dor Bahadur Khapang mwenye umri wa miaka 17 ana urefu wa sentimita 70 na amethibitishwa na kumbukumbu za Guinness kuwa mtu mfupi zaidi duniani.

VCG111384009287.jpg
 
Hakuna binadamu wa sentimita 700 ukiwa na sm200 tu unatisha kibara la afrika
Ni kweli ila wapo pia giants ambao waliwahi kuishi enzi za kal. Wana urefu mara 5 zaidi ya urefu wa kawaida wa sasa hivi. Ngoja nitaiangalia documentary hiyo youtube halafu nitaiweka humu
 
Huyu na hasbullah aliyoko kweny avatar yangu yupi mfupi zaidi hasbullah nurmagomedov ana miaka 20 ni ule ukoo wa kina khabib nurmagomedov
 
Afu ana matege. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee sentimita 700 unazijua? Rula moja ina sentimita 30(futi moja hiyo)

Sentimita 700 ni zaidi ya futi 23. Sasa mtu mwenye futi 23 unampatia wapi dunia hii, au unamzungumzia unju[emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom