Mvuta bangi achanganyikiwa

Mvuta bangi achanganyikiwa

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Kuna jamaa alikuwa kashakolea bangi yake ndani ya Mwezi huu wa Ramadhani. Akipita katika safari zake, akatokezea msikitini pana darsa baada ya sala ya Alasiri. Akamsikia Sheikh anasema, "Kila unaposema Subhanna Llah, basi unapandiwa bustani peponi". Jamaa kusikia hivyo, akauliza, "Sheikh sasa ukizisoma sana si itakuwa kwanza kichaka halafu itakuwa pori?" Jamaa wote msikitini wakawa hoi bin taaban unaambiwa hata mtoa darsa nae ilibidi aombe maji ya kunywa ,ila akakumbushwa kuwa ni mwezi wa funga, 😀 Ramadhan Kareem
 
Acha uzushi mkubwa watakukimbiza hao jamaa,hawanaga maskhara!
 
Back
Top Bottom