Mvuta Bangi

KIBOD3

Senior Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
151
Reaction score
228
Mvuta Bangi alikwenda kwa Dokta na kumwambia:- Mvuta Bangi: Mala nyingi huwa nazungumza na watu,
lakini cha kushangaza watu hao huwa siwaoni,
utanisaidiaje daktari?.
Daktari:- Ni wakati gani huwa inakujia hali kama
hiyo?. Mvuta Bangi:- Mala nyingi pale ninapoongea nao kwa
Simu...!!!
Daktari:- Mmm...!!
 

🙂😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…