nyabhera JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 661 Reaction score 733 Jan 14, 2018 #2 Smart. Nimeipenda. Nilisoma kitabu kimeandikwa na Padre mmoja enzi za ukoloni. Kilitafsiriwa kwa kiswahili na kuitwa Mwana Wa Ibrahim. Mwandishi alionyesha khofu kwa Uprotestant katika siasa za Tanzania.
Smart. Nimeipenda. Nilisoma kitabu kimeandikwa na Padre mmoja enzi za ukoloni. Kilitafsiriwa kwa kiswahili na kuitwa Mwana Wa Ibrahim. Mwandishi alionyesha khofu kwa Uprotestant katika siasa za Tanzania.