Mvutano wa Julius vs Oscar, je kuna simulizi mbadala?

Smart. Nimeipenda. Nilisoma kitabu kimeandikwa na Padre mmoja enzi za ukoloni. Kilitafsiriwa kwa kiswahili na kuitwa Mwana Wa Ibrahim.

Mwandishi alionyesha khofu kwa Uprotestant katika siasa za Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…