The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Kwako Binti na Mwana wa Afrika.
Elimu za Dunia zinafundisha watu, kuenenda kwa akili/kutumia akili zaidi.
Elimu za kiroho zinahimiza Unyenyekevu/kuenenda kiroho/kutumia uwezo wa ndani wa kiakili.
Kawaida ukitumia sana akili ya ubongo kuna matokeo tofauti na ukitumia akili ya kiroho/ uwezo wa ndani zaidi wa kiakili, nako kuna matokeo tofauti.
Ukiwa ni Mtumiaji zaidi wa akili ukijaribu kutumia moyo, akili huwa inagoma kukubaliana na akili ya rohoni.
Hali hizi ndizo huleta matabaka ya kufanya, kuwe na watu wa hali tofauti. Kuna Matajiri na Masikini, Kuna wajinga na werevu, kuna wasomi na wasioelimika, wabishi na waungwana.
Ukiona kila jambo unashindwa na Dunia, ujue uwezo wako wa kumudu Dunia, hauendani na matumizi ya akili ya kawaida bali uwezo wako upo katika akili ya kiroho. Hivyo inatakiwa ibadilishe mfumo.
Ukitumia akili tofauti na ulivyo zoea, itakubadilishia namna unavyoyaelewa maisha na hivyo kuona fursa zinazoendana na wewe na za kukufanikisha.
Ukiona unashindana na roho, ujue uwezo wako upo katika akili ya kawaida na wewe unatumia akili ya kiroho ambayo haiendani na mtizamo wako kuhusu maisha na mambo ya kidunia.
Masikini wengi wa Dunia hii, ni wanyenyekevu wa kiroho. Wakati matajiri wa Dunia hii, ni wanyenyekevu wa kiakili.
Kama ulisha wahi kujiuliza, kwanini walokole na wenye kufuata sana dini ni masikini, nadhani umeanza walau kupata majibu.
Sina maana ukienenda sana kiroho, unakuwa masikini Lah!. Wapo wanyenyekevu wa Kiroho ambao ni matajiri sana.
Ni nadra kwa walioshika nafasi kubwa darasani, kwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili, kuwakuta wakiwa hivyo Katika uwanja wa Kiimani, kanisani, misikitini n.k.
Ila utawakuta katika uwanja wa Elimu za dunia, siasa, sayansi, na ndiyo viongozi katika mifumo ya kidunia.
Wanaokuwa wakishika nafasi ndogo darasani, wao huongoza katika maisha ya kawaida. Ndiyo sababu ya matajiri wengi kuwa sio wasomi.
Mvutano wa kiakili ni pale Dini zinakulisha ili kukujenga rohoni, na Elimu ya