Mvuti sekondari ni bweni?

Mvuti sekondari ni bweni?

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Ndg zangu habari za leo.

Mwanangu amechaguliwa kujiunga na hii shule. Wameandika pale kuwa ni shule teule je Ina bweni.

Swali la kizushi.

Ina nini unique wanaojua wanijuze
 
Ndg zangu habari za leo.

Mwanangu amechaguliwa kujiunga na hii shule....
Shule ya Kata unauliza vitu unique upo serious kweli?

Tumia muda huu kumuhonga Mwalimu mkuu wa shule unayoipenda mtoto wako asome, watu wenye kipato kizuri Watoto zao wanafaulu lakini hawaendi kwenye hizo shule za serikali kwahiyo nafasi lazima ziwepo.

Cheza Sasa na Mwalimu mkuu wa shule ya serikali unayoipenda, MPE mzigo wake ale Christmas January mtoto akaripoti kwenye shule yake, walimu wakuu ndio wenye mamlaka ya hizo nafasi.

Jiongeze.
 
Iwapo uko Dar, ni vizuri ukaitembelea hiyo shule mapema upate undani wake. Unafika Mvuti halafu unaingia ndani kilomita kama 5 kuelekea Dondwe.
 
Iwapo uko Dar, ni vizuri ukaitembelea hiyo shule mapema upate undani wake. Unafika Mvuti halafu unaingia ndani kilomita kama 5 kuelekea Dondwe.
Umenijibi Kwa hekma mola akubariki
 
Back
Top Bottom