Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Shule ya Kata unauliza vitu unique upo serious kweli?Ndg zangu habari za leo.
Mwanangu amechaguliwa kujiunga na hii shule....
Unataka unique ..lolNdg zangu habari za leo.
Mwanangu amechaguliwa kujiunga na hii shule..
Wameandika pale kuwa ni shule teule je Ina bweni.
Swali la kizushi...
Ina nini unique wanaojua wanijuze
Kama Tusiime, Feza na Baobab.ππUnataka unique ..lol
Asahau hiyo...Kama Tusiime, Feza na Baobab.ππ
Umenijibi Kwa hekma mola akubarikiIwapo uko Dar, ni vizuri ukaitembelea hiyo shule mapema upate undani wake. Unafika Mvuti halafu unaingia ndani kilomita kama 5 kuelekea Dondwe.
Kweli wewe ni lipumbavu!Umenijibi Kwa hekma mola akubariki
Hahahahah Asante Mkuu.Kweli wewe ni lipumbavu!