Side Makini Entertainer
Member
- Jan 19, 2020
- 42
- 80
Hiki ni kitu ambacho unaweza kukitengeneza kutokana na matendo, mavazi na maneno yako.
Katika mapenzi, urembo au utanashati hauna nguvu kama mvuto.
Mvuto ni namna ambavyo unamfanya mtu akuone bora, wathamani na wakipekee.
Mvuto ndio unafanya umuone Neema wako ni bora kuliko wanawake wote. Mvuto ndio ulimfanya Janet atamani kujiua kisa Kushoka kamwambia hamtaki.
Mvuto sio muonekano ila ni namna mtu anavyokuona. Ni ile picha ambayo unaijenga katika akili na kakamata hisia na utu wake.
Mvuto ni ule uwezo wa kucheza na akili na madhaifu ya mtu na kumfanya ajisikie vema akiwa na wewe hata asitamani muachane!
NB: You might be single but not as single as some of those married people. Chill out!
Side Makini Entetainer ✍🏾