Mvuto!!!

hahaaa uwiiiii baba Asharaf kaona mama ashraf kajiungaJF na yeye akaona kama noma na iwe noma na mie najiunga.
mama ashraf namjua ila baba ashraf ninahisi namjua lol.
 
Mvuto bila heshima/kujiheshimu ni sifuri. Heshima mbele, mvuto baadae.
 
 
Last edited by a moderator:
Enheee mimi ndiye Baba Ashrat. Unahisi umenijulia wapi?

take it easy dear Baba Ashrat maana hiyo enheee inafanya nijihisi niko kwenye hatari yakusutwa.
Mwaya nahisi nilihisi kimakosa sikujui, mama ashratlicious tu ndo namjua hiyo hata mkinisuta mtakua mnanionea tu lakini namjua mama ashrat ni nani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…