Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Umemsikia Mwabukusi?
Let me be brief.
Anasema Samia na genge lake ni Wazanzibari.
Hawapaswi kujimilikisha mali za Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano.
Dodoso Kali!..Kwa maoni yako, Samia na genge lake la Wazanzibari wanapaswa kujimilikisha mali za Watanganyika?
..Kwa maoni yako, Samia na genge lake la Wazanzibari wanapaswa kujimilikisha mali za Watanganyika?
Umemsikia Mwabukusi?
Let me be brief.
Anasema Samia na genge lake ni Wazanzibari.
Hawapaswi kujimilikisha mali za Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano.
Maskini Tanganyika yangu haina mlinzi, hata Mtanganyika mwenyewe hana habari na mali yakeMali za Watanyika zisiibiwe na Wazanzibari kama alivyosema Mwabukusi,"Tunafanya nini kulinda rasimali za Tanganyika?"
Pia zisiibiwe na Watanganganyika.
In fact,Umemsikia Mwabukusi?
Let me be brief.
Anasema Samia na genge lake ni Wazanzibari.
Hawapaswi kujimilikisha mali za Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano.
Tuvumiliane tu maneno sio mkukiUmemsikia Mwabukusi?
Let me be brief.
Anasema Samia na genge lake ni Wazanzibari.
Hawapaswi kujimilikisha mali za Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano.
Weka hivyo vifungu tujifunzeIn fact,
tayari ameshajibandua mwenyewe kwenye nafasi ya urais wa TLS kwa mujibu wa sheria, na ndio maana unaona ana tapatapa na kupiga mayowe tu ambayo hayawezi kumsaidia kwa namna yoyote ile kuendelea kuiongoza TLS π
Ukitaka kujijua unaakili basi jichunguze katika maoni yako yanaamuriwa kwa akili au kwa vipande vya pesa?In fact,
tayari ameshajibandua mwenyewe kwenye nafasi ya urais wa TLS kwa mujibu wa sheria, na ndio maana unaona ana tapatapa na kupiga mayowe tu ambayo hayawezi kumsaidia kwa namna yoyote ile kuendelea kuiongoza TLS π
Umemsikia Mwabukusi?
Let me be brief.
Anasema Samia na genge lake ni Wazanzibari.
Hawapaswi kujimilikisha mali za Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano.
Lini na wapi alikuwa TSL?Umemsikia Mwabukusi?
Let me be brief.
Anasema Samia na genge lake ni Wazanzibari.
Hawapaswi kujimilikisha mali za Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano.
zingatia maelezo yangu ya msingi gentleman itakusaidia zaidi kuliko kushupaza shingo kwa kiburi πUkitaka kujijua unaakili basi jichunguze katika maoni yako yanaamuriwa kwa akili au kwa vipande vya pesa?
hivyo ndivyo vilivyompeleka mbele ya kamati ya maadili gentleman, wewe havitakusaidia chochote humu jukwaani πWeka hivyo vifungu tujifunze