Pre GE2025 Mwabukusi ameshinda, Je CHADEMA ya Mbowe itanufaika vipi kisiasa? Naona wanapiga mayowe kila kona

Pre GE2025 Mwabukusi ameshinda, Je CHADEMA ya Mbowe itanufaika vipi kisiasa? Naona wanapiga mayowe kila kona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?

Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa)

Kwamba Lissu atashinda 2025?

Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania.
1000029578.jpg

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
 
Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?

Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua .(Shahidi ni Msigwa)

Kwamba Lissu atashinda 2025?

Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania.
View attachment 3060072
👇
Kwa Mwambukusi ni mwanachama wa CDM?
 
Nafikiri watu wengi wanashangilia kutokana na misimamo ya Mwambukusi kutokuteteleka linapokuja suala la kusimamia haki hamumunyi maneno nyeusi kwake ni nyeusi sidhani kama nia yake pia ni kushindana na serikali bali hapendi kuona haki ikikanyagwa kisa tu serikali imefanya basi isikemewe ichekewe tu wakati wengi wakiumia.

Suala la mikataba ni kilio cha nchi hii toka enzi na enzi mpaka wengi tunashangaa sasa kwanini historia imewabagaza wakina Chief Mangungo ambao hawakuwa na elimu enzi zao kwa mikataba walioingia kipindi chao huku wasomi wa sasa wakifanya/wakiingia mikataba ya kimangungo licha ya kuwa na elimu tofauti na kale, hivyo masuala kama haya Mwambukusi ameendelea kujitanabaisha kuwa yupo tofauti sio kwa kushindana.

Tazama kipindi cha mwisho utawala wa JK mikataba 14/18 ya gesi ilipitishwa tena kwa hati ya dharura bila hata kuangalia madhara kwa nchi mambo kama hayo lazima yasemwe na kupaziwa sauti bila kuchoka.​
 
Chadema itanufaika na Mwabukusi maana jamaa ni mzee wa jazba anaweza kukata mti kisa jani limemgusa
 
Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?

Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa)

Kwamba Lissu atashinda 2025?

Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania.
View attachment 3060072

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Unaweza kukuta CHADEMA wanashangilia tu kama Simba na Yanga ila wewe sasa ndiyo umeshindwa hata kujitambua.Hopeless!
 
Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?

Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa)

Kwamba Lissu atashinda 2025?

Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania.
View attachment 3060072

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Wamekuwepo hapo kina Nshala,Lisu,Fatuma Shangazi na Wafuasi wao wengine Sasa sijui Huwa wananufaikaje ,labda kuwasaidia kwenye misala ya kesi.

Mwisho nilikuwa najiuliza mbona Mwabukusi ni ropo ropo na hana staha kumbe sio kosa lake amekulia mtaani na amekosa malesi mazuri na Elimu ya kuunga unga 🤣🤣👇👇

View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19
 
TLS Sasa inaenda kusimamia kesi zote za uporaji wa ushindi wa wagombea
 
Labda tu huelewi wewe mleta mada, Kwasaliosoma vyuo hivi vikubwa, mtakubaliana na mimi kuwa chaguzi zake huwa CCM wanaingiza mkono wao in fully. Hiki ni chuo, sembuse TLS?

Tuseme Mwakubusi si CDM na Nkuba si CCM, but behind the curtains CCM ilitaka sana Nkuba ashinde, Utapata jibu kwanini watu wanafurahia ushindi wa Mwakubusi.

Kwa kuwajua CCM walivyo, hapo wapo kwenye plan B or C. Kum-silence Mwakubusi kwa njia yoyote inayowezekana.

Punguza maswali ya kitoto.
 
Kwani chadema huwa wanajua hata wanataka nini hapa duniani?
Binafsi naamini hawajui. Wanakwambia wao ni chama Cha siasa ila wanasusia uchaguzi wanasema hawautambui, halafu wanapelekwa Ikulu wanakunywa juisi, wanaitambua Serikali ya Uchaguzi wasioutambua! Extremely confusing!
 
Wamekuwepo hapo kina Nshala,Lisu,Fatuma Shangazi na Wafuasi wao wengine Sasa sijui Huwa wananufaikaje ,labda kuwasaidia kwenye misala ya kesi.

Mwisho nilikuwa najiuliza mbona Mwabukusi ni ropo ropo na hana staha kumbe sio kosa lake amekulia mtaani na amekosa malesi mazuri na Elimu ya kuunga unga 🤣🤣👇👇

View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19

Typically CCM mindset, The privileged.

Kwahiyo una mbully mtu kwa kukulia mtaani/kukosa malezi mazuri, na kuunga unga elimu?

Are you okay huko kichwani? Ninyi ni aina ya watu ambao mna kila kitu isipokuwa furaha. 🗑️
 
Back
Top Bottom