At least CCM wao wanajua wanachokitaka. Kuiba mali za umma na kunufaika na ujinga wa raia.Kwani chadema huwa wanajua hata wanataka nini hapa duniani?
Kwa Mwambukusi ni mwanachama wa CDM?Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?
Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua .(Shahidi ni Msigwa)
Kwamba Lissu atashinda 2025?
Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania.
View attachment 3060072
👇
Unaweza kukuta CHADEMA wanashangilia tu kama Simba na Yanga ila wewe sasa ndiyo umeshindwa hata kujitambua.Hopeless!Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?
Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa)
Kwamba Lissu atashinda 2025?
Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania.
View attachment 3060072
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Wamekuwepo hapo kina Nshala,Lisu,Fatuma Shangazi na Wafuasi wao wengine Sasa sijui Huwa wananufaikaje ,labda kuwasaidia kwenye misala ya kesi.Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?
Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa)
Kwamba Lissu atashinda 2025?
Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania.
View attachment 3060072
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Binafsi naamini hawajui. Wanakwambia wao ni chama Cha siasa ila wanasusia uchaguzi wanasema hawautambui, halafu wanapelekwa Ikulu wanakunywa juisi, wanaitambua Serikali ya Uchaguzi wasioutambua! Extremely confusing!Kwani chadema huwa wanajua hata wanataka nini hapa duniani?
Typically CCM mindset, The privileged.Wamekuwepo hapo kina Nshala,Lisu,Fatuma Shangazi na Wafuasi wao wengine Sasa sijui Huwa wananufaikaje ,labda kuwasaidia kwenye misala ya kesi.
Mwisho nilikuwa najiuliza mbona Mwabukusi ni ropo ropo na hana staha kumbe sio kosa lake amekulia mtaani na amekosa malesi mazuri na Elimu ya kuunga unga 🤣🤣👇👇
View: https://twitter.com/ayubu_madenge/status/1819472333155061897?t=G1kRCp5j0TIS0CaR7EkHOw&s=19