the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 alisema kuwa kuna umuhimu sasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutoa ruzuku kwa taasisi zinazotoa misaada ya kisheria kwa wannachi kama inavyofanyika kwa vyama vya siasa.