Mwabukusi kimyaa, analamba asali!

Mwabukusi kimyaa, analamba asali!

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Njaa ikizidi ndo kelele zinakuja nyingi. Wataalam wa Siasa za Tungekinya wanajua Hilo hivyo wao wanakunyamazisha kwa kukutupia buyu la asali uhangaike nalo. Nashauri Hata Mbowe ahamishiwe salio hatutasikia kelele tena.

Dominika njema.
 
binadamu wote ni sawa tabia ni zile zile tu ,sema wengi wanajifanya patriotic front mdomoni sababu hawajapata nafasi . Nakumbuka Jimbo moja hapa Tanzania walishinda chadema kuanzia mbunge hadi wenyeviti wa serikali za mitaa hapo ndipo ule msemo wa pata cheo tujue tabia yako ndipo unaakisi, hawa watu tabia zao ni zile zile ,mienendo yao ni ile ile sema tu hawana nafasi, ndiyo maana wanajivisha ngozi ya kondoo . Human nature is human nature, Tanzania jambo la msingi linalohitajika kwa sasa ni kitaba mpya ndio mwarobaini katika mambo mengi yanayolitatiza taifa hili na sio chama.
 
Njaa ikizidi ndo kelele zinakuja nyingi. Wataalam wa Siasa za Tungekinya wanakua Hilo hivyo wao wanakunyamazisha kwa kukutupia buyu la asali uhangaike nalo. Nashauri Hata Antipasi ahamishiwe salio hatutasikia kelele tena.

Dominika njema.
Ulitaka afanye nini ?
 
Mbona yupo active sana? Unajua kazi za chairman wa TLS? Watanzania wengi sisi ni wavivu na wajinga. Tunadhani sisi kazi yetu ni kukaa na kubishana juu ya Yanga na Simba halafu watu wachache ndiyo watusaidie ''kupaza sauti''. Utasikia ''mheshimiwa tusaidie kupaza sauti kwa wakubwa''. Huu ni utamaduni wa kivivu na kijinga mno.
 
Njaa ikizidi ndo kelele zinakuja nyingi. Wataalam wa Siasa za Tungekinya wanajua Hilo hivyo wao wanakunyamazisha kwa kukutupia buyu la asali uhangaike nalo. Nashauri Hata Mbowe ahamishiwe salio hatutasikia kelele tena.

Dominika njema.
Tayari
 
Back
Top Bottom