tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Katika press aliyoiitisha Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Boniphace Mwabukusi amesema maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts.
Maelezo hayo yameibuka mara baada ya mmoja wa waandishi kumtaka Mwabukusi aelezee suala la Polepole kuwa mifumo inasoma akiirejelea mifumo aliyoisema pole kuwa INEC, NIDA na CCM zinasoma ili kupata taarifa za watanzania.
Soma pia: Nawaza tu kwa jicho la tatu Mwabukusi amelamba asali
View attachment 3453705
Na hii ndio point kubwa ya PolepoleKusomana kwa mifumo siyo dhambi. Inasomana ili kuleta ufanisi wa kazi na kurahisisha utoaji huduma.
Shida inakuja pale ambapo ccm inatumia vibaya kusomana huko kwa mifumo
Very soon POLEPOLE atakuwa IRRELEVANT maana hana hoja yeyote anayoitetea. Yeye ana kisirani tu cha kuvuliwa madaraka aliyopewa na Magufuli.Katika press aliyoiitisha Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Boniphace Mwabukusi amesema maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts.
Maelezo hayo yameibuka mara baada ya mmoja wa waandishi kumtaka Mwabukusi aelezee suala la Polepole kuwa mifumo inasoma akiirejelea mifumo aliyoisema pole kuwa INEC, NIDA na CCM zinasoma ili kupata taarifa za watanzania.
Soma pia: Nawaza tu kwa jicho la tatu Mwabukusi amelamba asali
View attachment 3453705
Wewe kama mzoga utachaguliaje watu hoja. Hoja za watu wenye uhai huwezi kuzitambua kuwa na uhalali kwako kama mzoga. Umenipata?Very soon POLEPOLE atakuwa IRRELEVANT maana hana hoja yeyote anayoitetea. Yeye ana kisirani tu cha kuvuliwa madaraka aliyopewa na Magufuli.
You can fool some people sometimes, but you cannot fool all the people all the time.
WAPIMBAVU ruksa kuendelea kumsikia huyo bwege wa Cuba. Ila werevu tulisha ng'amua.
Cc Kalamu , Carlos The Jackal , ras jeff kapita , brazaj , Mshana Jr
Katika press aliyoiitisha Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Boniphace Mwabukusi amesema maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts.
Maelezo hayo yameibuka mara baada ya mmoja wa waandishi kumtaka Mwabukusi aelezee suala la Polepole kuwa mifumo inasoma akiirejelea mifumo aliyoisema pole kuwa INEC, NIDA na CCM zinasoma ili kupata taarifa za watanzania.
Soma pia: Nawaza tu kwa jicho la tatu Mwabukusi amelamba asali
View attachment 3453705
Very soon POLEPOLE atakuwa IRRELEVANT maana hana hoja yeyote anayoitetea. Yeye ana kisirani tu cha kuvuliwa madaraka aliyopewa na Magufuli.
You can fool some people sometimes, but you cannot fool all the people all the time.
WAPIMBAVU ruksa kuendelea kumsikia huyo bwege wa Cuba. Ila werevu tulisha ng'amua.
Cc Kalamu , Carlos The Jackal , ras jeff kapita , brazaj , Mshana Jr
Huyu mwabukusi angewafuata tu wataalam wa IT wamwambie what are likely chances za uhuni. Sio lazima polepole aeleze zaidi.Katika press aliyoiitisha Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Boniphace Mwabukusi amesema maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts.
Maelezo hayo yameibuka mara baada ya mmoja wa waandishi kumtaka Mwabukusi aelezee suala la Polepole kuwa mifumo inasoma akiirejelea mifumo aliyoisema pole kuwa INEC, NIDA na CCM zinasoma ili kupata taarifa za watanzania.
Soma pia: Nawaza tu kwa jicho la tatu Mwabukusi amelamba asali
View attachment 3453705
Slowslow inabidi atoe ushahidi ws kuanzia, kws mujibu wa tls-raisHuyu mwabukusi angewafuata tu wataalam wa IT wamwambie what are likely chances za uhuni. Sio lazima polepole aeleze zaidi.
mkuu tukusaidie maneno ya polepole niya uongoKatika press aliyoiitisha Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Boniphace Mwabukusi amesema maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts.
Maelezo hayo yameibuka mara baada ya mmoja wa waandishi kumtaka Mwabukusi aelezee suala la Polepole kuwa mifumo inasoma akiirejelea mifumo aliyoisema pole kuwa INEC, NIDA na CCM zinasoma ili kupata taarifa za watanzania.
Soma pia: Nawaza tu kwa jicho la tatu Mwabukusi amelamba asali
View attachment 3453705
Ndio maana tunapigwa sana kwa hizi akili. Kashfa yeyote haipaswi kuachwa tu eti kwa vile haijawekwa na ushahidi. Nini maana ya kuwa na vyombo vya uchunguzi. Sasa kama mtu akishaweka ushahidi na asiwe tayar kutoa ushirikiano zaidi?Slowslow inabidi atoe ushahidi ws kuanzia, kws mujibu wa tls-rais
Mwabukusi sio mjinga kusema vile mkuu, na kama wewe ni mtanzania kama mimi utamuelwa zaidi mwabukusi kwa kusema vileNdio maana tunapigwa sana kwa hizi akili. Kashfa yeyote haipaswi kuachwa tu eti kwa vile haijawekwa na ushahidi. Nini maana ya kuwa na vyombo vya uchunguzi. Sasa kama mtu akishaweka ushahidi na asiwe tayar kutoa ushirikiano zaidi?
Ndiyo maana nashauri, Mwabukusi angekuchukua ni kama serious allegations zenye maslahi ya umma. Akawatask wataalam wa mifumo, wapewe ruhusu kufanya auditing na kurudi na majibu.
Kama tu wao wanaona inafaa, vinginevyo watulie wasubirie ushahidi.
Mfano mwningine zile allegatio dhidi ya Rostam nazo unahitaji pole pole aweke ushahidi?
It's only imbeciles that will jump into Polepole stupid bandwagon. Just another gossip from a loser who wants to be relevant after being removed from one of top CCM position. Ignore this twatWewe kama mzoga utachaguliaje watu hoja. Hoja za watu wenye uhai huwezi kuzitambua kuwa na uhalali kwako kama mzoga. Umenipata?
There's no more reasoning with such useless individuals. It's a waste of time.
La kuvunda:
TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."
Mbona mtafungua vyungu!
Kwa vile wewe umepinga, yaonekana wewe ni mtaalamu, basi tudadavulie hapa jinsi uwizi unavyofanyikaHuyu mwabukusi angewafuata tu wataalam wa IT wamwambie what are likely chances za uhuni. Sio lazima polepole aeleze zaidi.
Polepole bwege tu, anawasisimua msiojuwa, kiujumla hana jipyaNdio maana tunapigwa sana kwa hizi akili. Kashfa yeyote haipaswi kuachwa tu eti kwa vile haijawekwa na ushahidi. Nini maana ya kuwa na vyombo vya uchunguzi. Sasa kama mtu akishaweka ushahidi na asiwe tayar kutoa ushirikiano zaidi?