Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,913
- 2,662
Tatizo watu wanabeba hoja juu juu tu kihisia labda sababu ya kumchukia mtawala. Kura hupigwa kwa kalamu, na kuhesabiwa kwa mikono, sasa hapa mfumo unaathiri vipi. Kama wizi wa makaratasi yaliyo tikiwa tayari sawa. Mifumo ya benki zote zinasosoma na NIDA, je kitendo hicho kinaathiri vipi amana za wateja? Hii inanikumbusha kipindi cha JPM, Musiba alivyowaaminisha mashabiki wa utawala zama zile kuwa, Lissu hakupigwa risasi, zile hazikuwa risasi bali ni branco, na mashabiki wakaamini
Mwabukusi yuko sahihi, mengi yanayoongelewa ni hear say hayana concrete evidence.
HP anaongea kama mwingine yeyote anavyoweza kuongeaongea tu.
Issue kubwa ya HP ni maslahi hakuna lingine.
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Hapo haya chini ndipo Adv. Mwabukusi amesema HAKUNA facts. Kama unazo ebu ziweke hapa jinsi CCM wanavyoitumia vibaya fursa ya mifumo kusomana.Kusomana kwa mifumo siyo dhambi. Inasomana ili kuleta ufanisi wa kazi na kurahisisha utoaji huduma.
Shida inakuja pale ambapo ccm inatumia vibaya kusomana huko kwa mifumo
Pole Pole sijui anaogopa nini kulipua mabomu ya atomiki!Huo ndiyo ukweli!