Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Tatizo ni kuwa mwana ccmAsante wakili
Fisadi ni fisadi tu hata awe na cheo kikubwa
Mwabukusi amesema mwizi ni mwizi hakuna lugha ya kiungana ya kumuita mwizi, akisema kama mtu anataka heshima ya kinafiki atoke kwenye ofisi za umma akakae nyumbani kwake ambako atasifiwa wakati wote.
Akaongeza kuwa kama ukikaa kwenye ofisi za umma hauna faragha unayoitaka, ukiiba au ukiwa mzembe utaambiwa ukweli kama hutaki utoke kwenye ofisi hiyo.
Mwabukusi ameyasema hayo leo katika Mkutano na Waandishi wa Habari tar 5/9/2023, akiwa na akina Dr. Slaa, Mdude na Mbatia.
Unategemea mtu kama Kikwete ampende Mwabukusi? Kikwete anawapenda vilaza anaowatuma kumfanyia ufisadi1Mwabukusi ni mpambanaji. Wezi wezi wote hawawezi kumpenda huyu ndugu.
Unategemea mtu kama Kikwete ampende Mwabukusi? Kikwete anawapenda vilaza anaowatuma kumfanyia ufisadi1