Akichangia ktk topic iliowekwa ktk mtandao wa X na mwanaharakati na rafiki wa karibu wa Tundu Lissu bibi Maria Sarungi, Rais wa TLS ameandika kwamba kuna watu wamesambaa ktk mitandao ya kijamii kwa lengo la kumchafua.
Hii imekuja baada bi Maria kuweka post inayompongeza Rais huyo ya kwamba ameongea point siku ya sheria day mbele ya Rais.
USHAURI WANGU.
Wengi tulikutahadharisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chadema baada ya kumchafua Mr Mbowe na kumuunga mkono TL. washabiki wako walisema umetumia haki yako.
Wewe kama kiongozi wa juu hukutakiwa kumchafua mbowe ukijua mbowe na yeye anawashabiki wengi.
TEAM LISSU MUKAZE BUTI KUMSAIDIA WAKILI