Mwabukusi: TLS inakabiliwa wazi na mashambulizi ya watawala

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1FHUuAKTYz/Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema taasisi hiyo inakabiliwa na mashambulizi ya wazi kutoka kwa watawala, kauli hiyo ameitoa muda mfupi baada ya kuitikia wito wa polisi.

Kauli hiyo inakuja siku chache baada ya Kamati ya Taifa ya Mawakili (NAC) kufungua shauri la kinidhamu dhidi yake kufuatia matamshi yake kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi wa CHADEMA. Mwabukusi ameonya kuwa TLS haitakaa kimya na kwamba iko tayari kuchukua hatua kali ambazo hazijawahi kushuhudiwa katika historia ya chama hicho.

Je, hatua zinazomkabili Mwabukusi ni utekelezaji wa sheria na maadili , au ni shinikizo dhidi ya uhuru wa mawakili na taasisi wanazoziongoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…