marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Wakati Jose Mourihol akiwa kocha wa manchester united aliwahi kuulizwa kwanini anaendelea kumuweka Lukaku Smalling na Lingard kwenye kikosi cha kwanza wakati wanaomekana kutofanya vizuri akasema 'actions speaks laughder than words" mechi iliyofata akawabench na kuweka wale ambao fans na waandishi walikua wanaona wana stahili kuanza!
Walicheza hovyo mpaka watu wali wafuata kwenye social networks account zao kuwatukana alikua Andreas Perreira ,Anthony Martial na phil jones.
Baada ya mechi kwenye Press akasema nadhani mme elewa kwanini wanao anza wanaanza na wanao kaa benchi wanakaa benchi!.
Hivi siku za karibuni watu walianza mijadara ya kwamba ole anachosha wachezaji hawapi nafasi ya kupumzika na walio benchi hawapi nafasi ya kuomesha walicho nacho.
Hasa kwa wachezaji kama Donny van de beek na wakina Exel Tuanzebe kwa lugha moja wachambuzj walianza kusema ole anaua vipaji kwa kuwapiga mikeka hao mabwana.
Ole kajibu kwa njia ambayo Mourimhol aliitumia kujibu bila kutu taarifu kama mou alivyo fanya.
Wachezaji wamepewa nafasi na wameonesha kwanini wanao anza hua wanaanza na wanao kula benchi hua wanakula benchi.
Mechi ya liverpool Bruno alianzia benchi na Donny van de Beek alinza lakini wote tuliona nani ali amua mechi.
Kuna Fan wamekua waki mlaumu kwanini Ole anampiga sana mkeka dogo(van de beek)?
Alianza na wote tukaona kwanini wanao anza hua wanaanza na kwanini Donny anakaa benchi.
Kitu kimoja naamini kwa ole.
Ole Ni fan wa Manchester United kama. tulivyo sisi pengine zaidi. Pia ni legend amecheza manchester united kwa mafanikio sanaa
Alafu sasa ni kocha. Sidhani kama hataki manchester ifanikiwe au yeye kama kocha afanikiwe kwenye kareer yake ya ukocha ...
Ole ndio anakaa na wachezaji kuanzia mazoezini mpaka real life yao anajua anajiu feetness zao anajua zaidi ya wewe fan hivyo kumuanzisha flani na ku mpiga mkeka mwingime ni kwasababu za kiufundi.
Ifike wakati fan tuheshimu makocha na Proffesional zao wao wanajua kutuzidi wanajua ndani nje
leo watu wamekalia kiwatukana wachezeji walio kua wana walilia waanze.