Mwadui 0-1 Simba | Uwanja wa Kambarage | Vodacom Premier League

Ashukuriwe sana huyo beki azawaizi lingekua lapili
 
Kagere go go go laaaaa anaokoa Difenda yule wa Mwadui FC

Mpira ulikuwa ukienda wavuni
 
Ntashangaa Morrison asipochukuliwa hatua kwa kitendo cha uzalilishaji kwa mshika kibendera
Hizi kadi anajitakia, kule CAF alitumikia adhabu na huku kwenye ligi ameshatumikia adhabu, lakini bado mkorofi korofi tu
 
Hivi Mwadui FC msimu mzima walikuwa wapi au kwasababu ni Simba SC habari ya mjini..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…