Mwadui Fc na Ruvu shooting kocha mzuri Mbao na Azam kocha hafai

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Mpira unamambo mengi wengi wanasema kocha anapewa ajira ili afukuzwe hakuna kibarua kigumu kama cha kufundisha mpira hasa wa miguu

Ukipata matokeo mazuri wewe rafiki yao ukipata matokeo mabaya wewe adui yao shabiki anachoangalia anataka ushindi tu hajui timu pinzani imejiandaaje.

Haya yanatokea hapa kwetu baada ya game ya kwanza Kushinda goli la 7 mashabiki walimsifu sana kocha baada ta kwenda sare na Azam mashabiki wakaanza kusema chinichini baada ya ushindi dhidi ya Mwadui Tff watupe kombe letu tu leo hii kaenda droo na Wakata Mbao wa mwanza kocha hana mbinu mbadala.

Mashabiki mwacheni Kocha afanye kazi yake kila timu imejiandaa vizuri na michezo ya mikoani ni miguu mlishangalia sana droo ya yanga na majimaji Songea

Tulieni ligi ndo bado mbichi.
 
Ahaaaa ahaaaa ahaaaaa usajili wa bilion na kidogo hayo ndio matokeo yake nacheka kwa dharaaau
 
Wamatopeni wanashangaza sana aisee...anyways ndio wameanza ligi hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…