Kawalindia nafasi yenu kweli mkuu..Bi Hindu fcBaada ya maafande wa JKT Tanzania kutulindia nafasi yetu kwa mda mrefu.. Hatimae Mnyama karejea kwenye nafasi yake (1).. Mpaka sasa msimamo wa ligi.. Simba SC anaongoza ligi.
Haya sasa laki si pesa na dada yako Hajar ligi ikiisha mda huu.. Nani atakua bingwa?
Kawalindia nafasi yenu kweli mkuu..Bi HinduBaada ya maafande wa JKT Tanzania kutulindia nafasi yetu kwa mda mrefu.. Hatimae Mnyama karejea kwenye nafasi yake (1).. Mpaka sasa msimamo wa ligi.. Simba SC anaongoza ligi.
Haya sasa laki si pesa na dada yako Hajar ligi ikiisha mda huu.. Nani atakua bingwa?
Ni kweli Mkuu.. Maana siku nyingi hatujamgonga mtu goli zaidi ya 6. Wanasimba wenzangu tunajiandaaje kupokea matokeo ya ushindi mnono kiasi hiki?
Duh! Nilitabiri tu mkuuNa kweli mkuu, ile penalty iliwachanganya sana Mwadui, ulijuaje?
Tukutane kwa Mchina HajarSisi tena tunakuja mboona.
πππMmh. Maneno hayo angetamka Nchemba mwenyewe angalaau ningekuelewa Mtani nje ya hapo hii ni habari ya udaku kama zilivyo habari nyingine za udaku. ππ