Mwadui FC Vs Simba SC

Update:
Mnyama anatakata hapa

Mwadui 0-1 Simba SC (Bocco)
 
TFF andaeni mapema mpira wa Bocco... Hatutaki zile story za Kitenge
 
HT: Mwadui 0-2 Simba SC
 
Hiv sasa mpira ni mapumziko...

Mwadui 0 _2 simba SC, (dk 45 kipindi cha Kwanza)
 
Uchambuzi , Leo jonh bocc katimiza magoli 100leo, tangu mashindano yaitwe ligi kuu[emoji120]
 
Baada ya maafande wa JKT Tanzania kutulindia nafasi yetu kwa mda mrefu.. Hatimae Mnyama karejea kwenye nafasi yake (1).. Mpaka sasa msimamo wa ligi.. Simba SC anaongoza ligi.

Haya sasa laki si pesa na dada yako Hajar ligi ikiisha mda huu.. Nani atakua bingwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…