mwafaka wa ajira za walimu wapya.

Joined
Jan 13, 2012
Posts
5
Reaction score
0
daa! Nadhan wana jf mnazo tetesi juu ya ajira zetu.ebu tupien kile mnachojua kuhusu hili.tumekichoka kitaa
 
mimi ninawashauri ni heri muunde umoja wa pamoja na muanze kujiandaaa kufanya maandamano kuelekea wizara ya elimu
mkikaaa kimya mtashangaaa 2015 uongozi unakiswa sasa hamjui uongozi ujao kama unawatambua
 
kila siku kesho,kila siku kesho .....fanyeni maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…