Mwafrika akimuangalia Polisi wa Kikoloni kwa Uchungu

POLISI wa Tanzania, wanateswa na Rushwa plus mishahara mbuzi.

Mtu unamlipa 600k kwa mwezi mzima ni lazima apokee Rushwa tu, na mbaya zaidi Police wana zile nyumba zao za Mabati utafikiri kambi za wakimbizi.

Tanzania kazi ya Polisi ni kama Laana kwa siku za karibuni. Ni vile tu jamii inawahitaji ila ni kazi ya nuksi sana.

Tanzania bila Rushwa, HAIWEZEKANI.
 
Saba
Inasikitisha... Halafu watesaji wa Sasa hawana sababu ya kuwatesa wenzao lakini HUWATESA na hata KUWAUA!
SAbabu za kututesa ni zile zile kupora mali..

Tofauti hawa wanatutesa sisi ndugu zlwale walitesa ambao si ndugu zao..

Hawa wanatumika kulinda maslahi za mabosi, mafisadi, vizazi vya mabosi vizidi kuneemeka, wazungu walikuwa wanalinda maslahi ya taifa lao ambapo hata mjukuu wake atakuja kuneemeka, huku kwetu kwa mwendo ulivyo haiwezekani mtoto wa askari nyota 3 aje kuupata ubunge kibwege bwege.
 
Uroho na ulafi wao tu.Wanalipwa mishahara na ration nusu ya mishahara yao(malipo katikati ya mwezi ).Lakin hawatosheki wala kuridhika.Wanaongozwa na tamaa ya kuishi maisha ya anasa.Kupenda magari mazurimazuri na kuoaoa hovyo huku wanaishi kwenye mabati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…