Mwafrika hahitaji Mwarabu,Mzungu,Mchina wala Mhindi kumbagua... Hao wanarudia anachofanya Mwafrika mwenyewe.

Mwafrika hahitaji Mwarabu,Mzungu,Mchina wala Mhindi kumbagua... Hao wanarudia anachofanya Mwafrika mwenyewe.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Wafrika wanaouana wenyewe kwa wenyewe ulaya na marekani ni wengi kuliko wanaouliwa na wazungu.

Waafrika wanaouana Afrika ni wengi kuliko waliouliwa na wazungu wakati wa ukoloni.

Ubaguzi wanaofanyiwa Waafrika na viongozi wao nchini mwao afrika ni wa kiwango cha standard gauge kuliko ambacho wanafanyiwa huko kwingineko.

Helcopter ya kukagua anuani za makazi nchi nzima inapatikana. Lakini ya uaokoaji huwezi pata kwa urahisi.

At least katika ile ajali angekuwepo hata kiongozi mmoja. Bahati mbaya walikuwepo tu ndugu wananchi.

Utashangaa mradi wa Mil 10 anayeenda uzindua yupo kwenye gari la milion 300 plus. Mradi huo ni kisima kimoja cha wanakijiji 1000. Unatizama unacheka... Unasema hapa kweli inatakiwa ubaguzi huu aje nao mzungu?

Madawa hamna hosp, huduma mbovu Mtu mmoja kiongozi anasema anunuliwe V8 ya thamani ya Mil zaidi ya 300. Atembelee yeye tu aenjoy life.

Mwarabu,Mhindi,Mzungu na Mchina wanasingiziwa katika suala la ubaguzi. Wabaguzi wa waafrika ni waafrika wenyewe kwa asilimia 99 ndo wanakuja na wengine.
 
huwezi kuwa na viongozi kama CCM ukaPaTA maendeleo
 
Back
Top Bottom