Mwafrika wa Kike umeniudhi sana na wenzako!!!

Status
Not open for further replies.
Eeeh bwana msiharibu mada; hii ya Mashaka ni by the way. Halafu Mashaka usijipige kichwa kabisa, wewe na MWK ni mbingu na dunia kabisa inapokuja kwenye hoja.

Wameshindwa akina Warioba, Malecela, JK, Makamba, Tambwe Hiza, etc kuitetea CCM itakuwa wewe bwana! Wewe peleka taarifa kwamba nawe upo hapa JF kwa ajili ya CCM wakupigie makofi, lakini ukweli ni kwamba sanasana wewe unazidi kuwatia kinyaa hata wale wachache waliobaki kuiamini CCM akina Kasheshe wakate tamaa! In short, you are just creating more haters for CCM, and you should take this last point very seriously if you are truly here to help CCM.

Hata hivyo siamini kwamba CCM wamekosa watu kiasi hicho, mimi najua ni katika utaratibu uleule wa kujaribu kujimwambafai ile uonwe kwamba upo. Kwa kuwa makada wengi mambo ya mtandao yanawapiga chenga, huenda ukafanikiwa, keep on!
 
mkuu navutiwa sana na ngeli yako... safi sana
ila naona kumwita nyani ngabu hapa mnajua madhara yake??? naambiwa ana posts 4000 lakini nusu ya robo ndizo points...

Sasa na wewe kukomenti kuhusu Nyani Ngabu si kunafanya pointi zako kugeuka kuwa pumba....Mijitu mingine bana.....hata akili haina. Wewe kama unaona mimi ni mtu wa pumba wala usingekomenti kabisa kuhusu mimi....ungeniruka na kuniacha kama nilivyo kuliko kuongeza pumba. Sawa kaka/ dada?
 

Mkuu unazungumzia Masaka au Mashaka?
 
Halafu umemsikia Mugabe alivyoapa juzi kuhusu wapinzani Zimbabwe? Not that I relish these kind of things but they keep proving me more and more right each and every single solitary day.....so what more can I say?

Yeah, nimeisikia hii. Crisis kabisa. Yaani viongozi wa africa wamegeuka vituko kabisa.

BTW: watu wasisahau ZANU PF/KANU na CCM are twins. Siku CCM ikipata upinzani wa kutosha wataja-behave even worse. Halafu ubaya zaidi wa CCM ni kwamba haina hata watu wa kujenga hoja. Maana wale jamaa wa ZANU PF pamoja na kubanwa wanajua kuhalalisha ujinga wao. Sasa hawa jamaa zetu wa CCM hata kusema hawajui-watu wenyewe ndio hawa akina Mashaka, Makamba, Chiligati, it is very serious indeed.
 
jamani Madela wa Madilu yuko wapi?, au tangu tubadili jina kutoka jamboforums hadi jamiiforums jamaa hakustuka?, mod una info zozote kuhusu Madela?,

gamba umenivunja mbavu.

Back to the subject, it takes a person of immensely ignoble and shameless character au mtu anayenufaika na status quo bila kujali ukweli kuuutetea ufisadi wa CMM na kutetea usultani kwa kusema "akitoka Kikwete Hussein Mwinyi, halafu akitoka Hussein Mwinyi Ridhiwani Kikwete". Hapa inabidi civility zote za polite society ziachwe na tuseme wazi huu ni upuuzi na mtu anayeleta upuuzi huu anataka tusimchukulie seriously.


Hata kama hiyo ndiyo strategy mnayotaka kuispin, this fool (as in descriptive, not insultingly intended) is shooting himself in the foot by outing that strategy that early on such a competent discussion forum.

There are some ppl you can be excused for not taking seriously.I find Masaka to be one such person.

Kitila, on top of maongezi ya baraza "Underground Network" inatakiwa kutumia baraza kuandaa more than discussion, what is on the table?
 

Thank you Pundit!
 

Kuna makosa gani kupendekeza watu wanaofaa hapa kuwa maraisi?
 
Masaka,

Tanzania is (supposedly) still a republic, not some backwater fiefdom token garland for the landed emerging aristocracy to be taken as booty at the will and whim of some politburo apparatchik demigod and their scheming hanger-ons posse in which you so crave inclusion.
 

mmmmmmmmmhhhhhhh!
 
Hao watoto wa Vigogo hawana qualifications za kuwa Urais kwa sababu hawajaonyesha wanaweza kuwa viongozi kama Marais, kwa kuangalia rekodi za kazi zao nyingine za nyuma. Mwisho wa hadithi.

Ukisema hairuhusiwi mtu kuwa kiongozi kwa sababu babake ni kiongozi maana yake unakubali ku consider pedigree ya mtu (favorably or not) katika kumpa mtu uongozi.

Hatutaki kuangalia pedigree ya mtu, nukta.
 
jamani hiki kiinglish cha wapi?
 

Kwahiyo unaungana na wale wanaoamini kuwa CCM Tanzania bado haina mpinzani?
 
Mkuu nakukubali japo sijanyaka kitu......tuendelee kukata issue
 
partially, what about you?

Not really, plus, I don't think he who wrote it gets it either....Lol

The post didn't properly follow the rules of grammar and clauses......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…