TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kipindi nipo shule nilikuwa napenda kukaa upande wa dirishani unaotazamana na jiko la shule.
Sasa siku moja nikawa naona baba mpishi amefungua sufuria la maharaghe akaweka chumvi, eeh tena ni nyingi hadi akawa kama ana wasiwasi kazidisha ikabidi atoetoe na kijiko lakini nahisi hakufanikiwa, namtazama tuu!
Baada ya muda tena akaja mpishi mwingine nikamuona anafunguaa chumvi anamimina, aseee weeeh nilipiga kelele sikujali mwalimu yuko darasani, 📢 "USIWEKEE, AMESHAWEKAAA😂"
Alamsiki.
cc: Othman mbarouk