Mwaikimba aiua mwanza ktk taifa cup

Mwaikimba aiua mwanza ktk taifa cup

Lilombe

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
242
Reaction score
39
Gabriel Mwaikimba ameipatia Mbeya bao moja na kuchukua kombe la Taifa Cup katika mpambano wa fainali lililofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid, Arusha. Pia Mwaikimba amechukua kiatu cha Dhahabu kwa kujipatia mabao 8, atapata zawadi ya shilingi milioni mbili na nusu. Wadhamini wa mashindano haya ni TBL kupitia bia ya Kilimanjaro Larger
 
Anaitwa Gaudence Mwaikimba, ndiye kafunga bao la Mapinduzi stars-Mbeya, huyo Gabriel sijui ni nani tena!!
 
Back
Top Bottom