Wakati CCM ndio wamemtumaKuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akohubiri Waislam watu wajenga chuki ukristo...
Kwahio?Wewe ndio umemjua leo Mwaipopo?
CCM imeshaona haipo tena hata ndani ya nafsi za wafuasi wake. Imeamua kuparanganya nchi ili chama kitakachokabidhiwa nchi kijikute katikati ya machafukoKuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akohubiri Waislam watu wajenga chuki ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!
Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.
Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly , kama siyo hivyo basi by necessary implication
Hata upumbavu ni kitengo piaAjabu nasikiaga ni kitengo
Acha kutumika kiswahili cha kichagga mitandaoniKwahio?
Baada ya kuongea ukweli ambao wazee wa π hamuupendi si ndio? Naunga mkono MwaipopoKuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akohubiri Waislam watu wajenga chuki ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!
Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.
Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly , kama siyo hivyo basi by necessary implication
Are you saying CCM wana chuki na Wakristo?Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akohubiri Waislam watu wajenga chuki ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!
Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.
Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly , kama siyo hivyo basi by necessary implication
porojo za wafia dini wa mchongoKuna Watu wamepata wasiwasi na mashaka baada ya Shehe Mwaipopo kuishutumu Chadema Kwamba inatembea na Padre
Ni Yeye mwenyewe Shehe Mwaipopo ndio alikiri Kwamba Katoliki ndio Dini kubwa duniani
Sasa kuna ubaya gani Chadema kutembea na Padre au mstaafu kumlipia matibabu Kardinali?
Mashehe wengine tusiwachukulie serious labda Alhaj Kundecha pekee
Jumaa Mubarak πππ₯
Huyo jamaa analeta mpasuko ...Mi naona anatumwa maana hata anavyoongea haeleweki kabisa ...Anaruka mara huku ndani ya mda mchache anaongea mambo mengi mno π πMtu mpumbavu sana huyo