Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

Hahahahahaha πŸ€£πŸ˜‚
 
Huyu Mwaipopo wa sasa na yule Mwaipopo wa miaka ya 90's akiwa na Sheikh Mazinde ni mtu yule yule?
 
Njaa hamuabudu Mungu anatumika, na hana uelewa wa dini yoyote
 
Kuna watu watanuna, na wakati alichokisema huyo Sheikh kina ukweli kwa 100%
 
Kama ametumwa,basi aliemtuma na yeye akili zao ziko mbioni kuexpire
Kwa kifupi huyo jamaa akili hana ,hana ata chembe,na muslims mnisamehe ila wasemaji wengi wamekua wakizungumza kwa mihemko/chuki/udini
 
ataleta chuki kwa wenye imani haba wenzie na wafia dini wa mchongo kama yeye πŸ’,

walewa wanampuuza tu
 
kwenye siasa za kuleta udini mara zote sisiem hua anakomba kijiji
Masheikh miyeyusho wote ni nyuki wa kijan
 
Huyo ni mnyakyusa wala sio shekhe waislamu hatumuungi mkono angalia tu alivyo mtu wa hovyo kabisa.

Hakuna muislamu anaweza kuunga mkono huyo mjinga ,clip imesambaa magroup kibao watu wanampinga...
Lakini akili na uwezo wake wa kupambanua mambo unafanana na uislam na waislamu.
Sioni mantiki ya kumvua uislamu wake maana ame- qualify.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…