Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

duu
 
[emoji109][emoji109][emoji120][emoji120][emoji120] kila uchaguzi ukikaribia Mazezeta dizaiñi hii huibuka.
Wamebugi sana maana kwa Sasa hakuna mtanzania mwenye akili za kikondoo
 
Anayemfuata huyu mwehu basi naye atakuwa ni mwehu mwenzake
 
Profesa wa kiarabu huyo.... Yaani huyo ndo wanamtegemea... Na Hapo ndo kamaliza... Hakuna anaye weza kupangua hoja zake huko uarabuni...
 
Mnyakyusa na uislamu Wapi na Wapi,, Sisi Kwetu kitimoto Ni Kama chai ya Asubuhi.. wanyakyusa Karibu Wote wanakula nguruwe
 

Hizi hadithi za vikao vya mbege zinaiangamiza chadema
 
Mganga wa kienyeji na Dini yake ya "SHETANI" Awamu ya 5 waliishindwa Chadema nyie wavaa kobazi mutaiweza? Sasa Chadema wako na Mungu, nyie simameni na Shetani na hamtashinda wala mahali penu hapataonekans kizazi cha NYOKA nyie.
 
hili ni lipumbavu fulani tu limeshiba ubwabwa kwahiyo linatafuta pakupumulia. kwanza tangulini mnyakyusa akawa muislam, si itakuwa mbegu ya mnyakyusa fulani tu hapo alimjaza mimba mama wa ndugu katika imani huko akatokea yeye? zaidi ya yote hata kama mimi sio chadema, sidhani kama hao ndugu zake katika imani wengi wake wana kadi za chadema, atakusanya hewa tu. mbuzi kasoro mkia.
 
CCM huwa inastawi kwenye Siasa za chuki na kubaguana, Watanzania wenzangu tusikubali hawa Wanasiasa watuchezee huyu Shehe ana Baraka za Viongozi wa CCM katumwa huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…