gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,406
- 3,888
,Namuunhga mkono Sheikh Mwaipopo, anaongea ukweli mtupu, Chadema ni washenzi na wadini sana,Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!
Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.
Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly, kama siyo hivyo basi by necessary implication
Acha kuwa muoga wewe, hawa wanajifanya sisi watanzania, lakini hakuna kitu, hawampendi Samia just because ni Mwislamu,Huyo ni mnyakyusa wala sio shekhe waislamu hatumuungi mkono angalia tu alivyo mtu wa hovyo kabisa.
Hakuna muislamu anaweza kuunga mkono huyo mjinga ,clip imesambaa magroup kibao watu wanampinga...
Ni hatari sn kwa nchi lakini tutafanyaje?Udini una madhara makubwa sana kwa nchi,wajinga wachache hawalioni hili
Mambo yenyewe wameletewa tu
Mbele ya pesa na mdaraka lazima akubaliMaza mwenyewe siyo muislam halisi. Hakuna muilam anayefuata mafundisho ya kiislam anayeweza kukumbatiwa na mwanaume ambaye siye mume wake.
Mtakuja kumwelewa baadae sna very good observation
Anaongea kile kilichoandikwa kwenye quranHuyo ni mnyakyusa wala sio shekhe waislamu hatumuungi mkono angalia tu alivyo mtu wa hovyo kabisa.
Hakuna muislamu anaweza kuunga mkono huyo mjinga ,clip imesambaa magroup kibao watu wanampinga...
Sasa hakipo Qur an haijui ChademaAnaongea kile kilichoandikwa kwenye quran
misikiti Sio Kama Makanisa Kwamba Kila Mtumishi Na Kanisa Lake,mwaipopo Hawez Kujengewa Msikiti Ukawa Mali Yake Msikiti Ni Mali Ya Waislam Na Sio Shekhe,hata Kama Itakuwa Mali Yake Waislamu Wakijua Huo Msikiti Ndo Itakuwa Mara Ya Mwisho Waislamu Kuingia, Unawajua Waislamu Unawasikia.Watu Wanajenga Misikiti Wanapotea Wanaachia Waislamu HawakaiHuyo shekh anapokea pesa kila mwezi kutoka kwa waarabu waliouziwa bandari
Na ameahidiwa kujengewa misikiti mbeya na nyanda za juu kusini
Pesa za mwarabu zinamfanya awaone ndugu zake wa mbeya km takataka
Nimejizuia kucheka ila nimeshindwa 😂😂Wanyakyusa ni watu makini sana...ila ukimkuta fala anakuwa mpuuzi kwelikweli....
Halafu sisi Waamini wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume wala hatujui maana ya kupadikzwa chuki. Tunaiamini sana Imani yetu.Wewe ndio umemjua leo Mwaipopo?
Wewe mbuzi ina maana umesoma kunizidi kwa lipi, kielimu hunizidi, kimaisha nimekupita mbali sana unaganga njaa tuShida ya hawa ndugu zetu akina Bakari, Fadhili, Mwajuma etc. Wakati wengne wanapambana kupata elimu dunia wao wako busy kutafuta historia ya mtume na kukazana kuoa wake wa4. Sasa mwsho wa siku wanajaa chuki sababu maisha kwao yanakuwa magumu sana. Ukienda Tandika,Buguruni, Temeke huko wamejaa sana ndo kunanuka umaskini. Lakn njoo Masaki huku,Mikocheni, Mbezi beach etc. utatukuta tumejaa huko. Hii ndo inawafanya wajae chuki. Ila ukwel usemwe popote alipopita mwarabu ameacha legacy ya ujinga uliokithiri. Hii ndo inayowafanya wajae na chuki
Quran anaijulia wapi huyo maamuma,hebu linganisha ongea yake na ongea ya Sheikh Kundecha utaona tofauti kubwa,wapi umemsikia ananukuu aya za quran naye alikuwa anatoa mashudu aliyolishwa na MakondaAnaongea kile kilichoandikwa kwenye quran
Huyo ametumwa na MakondaHivi serikali inakuwaje inawaacha watu kama huyu MWAIPOPO wanaleta chuki katika nchi?
Hili jambo halikubariki, atavuruga nchi huyu!