Mwaisela, Tambaza, Sewa Haji et al...ni kina nani hawa?


interesting....
 
sewa haji alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa na mwanzilishi wa hospitali ya muhimbili.
tambaza alikuwa ni mmoja ya wazee kongwe akiishi upanga pia hata shule ya Tambaza ni jina lake..
cc Mohamed Said FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Ningependa pia kuijua historia ya Gwamahala ambaye jina lake linatumika katika mabweni ya shule za Feza Boys na St. Patric Schools.

Karibuni.
 
Last edited by a moderator:

Nami nilisoma hapo, nililala mwaisela ya chini. Pia nakumbuka vyema bweni lililoitwa Bango likitumika kumuenzi mkuu wa shule na msomi maarufu uko mufindi. Nakumbuka maeneo ya ibangi, itengule, isimikinyi, ihowanza na tambala ng'ombe!
 
Tunashukuru wakongwe kwa hii histotia adhimu kabisa. Millenials na gen z wapite humu wapate dondoo muhimu kuhsu nchi yao especially wadar🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…