Mwaitege Umepigwa Bomu Kali sana la kichawi. Tafuta ulinzi wa kiroho by any means necessary

Dunia endelea tu usisimame nishuke nataka kuendelea kujifunza yaliyomo dunaini ni mengi sana.
 
Hamtakiii kufa kwani mlikuja Kulinda duniaβ€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Nimekuelewa mkuu
 
Ni sahihi kabisa jamaa aombe sana Mungu
 
Wote tuseme,

Sitakufa, Bali nitaishi, Ili niuone WEMA wa Mungu katika Nchi ya Walio hai. (Zaburi 118:17).

Aamin!!

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako fuatisha Sala hii,

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
 
Kwa mkitadha huo basi Hussein Machozi alidhaniwa.
 
Mwaka 2018 nikiwa naishi kijiji fulani huko Kanda ya ziwa ndanindani siku moja majira ya saa mbili usiku nikapata ajali ya pikipiki nikazima, nikazindukia njiani napelekwa hospitali, kwakuwa sikuwa nimeumia nilipewa dawa za maumivu tu nikalala pale (kwakuwa nilikuwa na jamaa ambaye alivunjika mkono). Asubuhi nikaondoka kurudi kijijini nakuta watu wanakula bia balaa kusherehekea nimekata moto huku wachache sana wakisikitika.

Jamii za kimasikini zimejaa roho mbaya balaa, ndio maana uchawi na umasikini vina uhusiano wa kudumu
 
Aise kaka Mshana Jr kapotea kitambo hapa jukwaani sijui anaendeleaje ndugu yetu huyu, popote alipo Mungu ambariki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…