Mwajiri anapo kutuhumu

kyoga

Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
31
Reaction score
11
Jamani naomba msaada wa kisheria, mwajiri anapokutuhumu kwa kosa flani kwa kukuandikia barua na wewe ukamjibu halafu anakaa mwaka mzima bila kukujibu badala yake anaunda tume kukuchunguza baada ya mwaka na zaidi kupita,,je inatakiwa nifanye nini maake hadii hii leo sijapata taarifaa yoyote na tume ilimaliza kazi yake miezi miwili iliyo pita
 

Kwa sababu mwajiri wako ndio ameiunda tume huru imsaidie kufanya uchunguzi wa madai yaliyopo mbele.Hatua atakazozichukua zitatokana na mapendekezo yatakayotolewa na tume hiyo.Ila ni vema ungetaja aina gani ya tuhuma ndio ingekuwa rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…