Mwajiri kukataa kusaini fomu za NSSF baada ya kunifukuza

Msingi_Mbio

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
336
Reaction score
44
Naitaji msaada wa sheria za mifuko ya jamii ikoje mwajiri wangu anakataa kusaini form za nssf na kuzuia mafao yangu nisipate

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwaiyo kama ananidai ana haki ya kuzuia ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Endapo mwajiri anakataa kusaini form zako, unatkiwa kwenda ofisi ya karibu ya NSSF, wao wana namna ya kufanya
 
sijui kama wanaongea ni sheria au la. michango ni yako na mkataba wa uchangiaji ni wako na mfuko husika. waone watu wa sheria muandike demand note na kuset terms za kulipana kama anakudai. I think mwajari has other terminal benefits to offset her debts. sheria mpya ya kazi inasema hata ukiwa terminated you deserve to have terminal benefits as per your contract
 
Asanteni kwa ushauri. Ngoja niwaone wanasheria.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Asanteni kwa ushauri. Ngoja niwaone wanasheria.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Huhitaji kuwaona wanasheria kama ungekua Dar ningekushauri uende NSSF makao makuu ungesaidiwa. NSSF ni mfuko pekee ambao haukubaliani mwajiri kumkata mfanyakazi mafao yake eti kisa anamdai. Kwa NSSF huyo mwajiri wako imekula kwake.
 
sheria mpya imekuwa effective tokea lini?
 
Kwaiyo kama ananidai ana haki ya kuzuia ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Heh!
Unadai alafu hutaki kulipa alafu mdai akufanyie kazi yako !
Utakuwa umempata mdai ----- kama atakujazia hizo fomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…