Mwajiri kushindwa kupeleka michango mifuko hifadhi ni kosa kisheria

Mwajiri kushindwa kupeleka michango mifuko hifadhi ni kosa kisheria

Mongasa

Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
74
Reaction score
73
Sheria inaruhusu kumshtaki mwajiri anaekata pesa KWA ajili ya mfuko WA hifadhi lakini awasilishi michango hiyo, Ni hatua zipi za kufuata
 
Nenda karipoti kwenye huo Mfuko uliondikishwa na ambao makato yako hayapelekwi Wao ndio watashughulika na huyo Muajiri.
 
Back
Top Bottom