Taured
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 805
- 684
Habari Wana Sheria?
Naomba msaada wa kisheria kuhusu kero za serikali juu ya upandaji madaraja( promotions)
Mwaka 2015 mwezi Novemba nilipokea barua ya kubadilishiwa daraja ( promotion) niliendelea kupokea mishahara wa zamani mpaka mwezi Mei 2016 ndo nikapewa mshahara mpya unaoendana na daraja jipya
Mwezi June 2016 serikali ikanirudisha kwenye mshahara wa zamani kwa madai ya uhakiki wa watumishi hewa na waliogushi vyeti na kusema kwamSeeba watarejesha mshahara mpya ndani ya miezi miwili.. miezi miwili ipoisha serikali haikurejesha mshahara wangu mpya niliendelea kulipwa mshahara wa zamani
Mwezi Nov 2017nikapokea barua nyingine ya kufuta promotion ya 2015 na kupewa daraja lile walilopokonya hivyo kusomeka nimepandishwa cheo tangu 2017 Nov na si Nov 2015!
Sakata hili limewathiri wengi
Sasa baada ya rais kutangaza watumishi wapandishwe madaraja wale waliopanda mar ya mwisho 2014,205, na walioajiriwa 2016 sisi tuliopanda 2015 na kupokonywa daraja tumektaliwa kupandishwa madaraja Jambo ambalo linatunyima haki ya msingi kwa sababu wenzetu wanapanda sisi tunaendelea kusota wakati hatuna makosa yeyote!
Je ni haki mwajiri kumpandisha cheo mtumishi it akamshusha hicho cheo bila Kosa lolote?
Kwa hali ilivyo wanasharia na watalaamu wa Sheria za kazi mnatuahauri tufanye Nini ili haki itendeke?
Nawaasilisha