Mwaka 1995 wanachuo walifukuzwa wote Dsa

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Nakumbuka mwaka 1995.chuo cha uhasibu wanachuo wote walifukuzwa na hawakurejeshwa tena chuoni .Nimebahatika kukutana na baadhi yao mfano aliyekuja kuwa rais wa Daruso komredi Julius Rugemalira.Wale wanachuo wengine mko wapi ?
 
Mimi nimesoma DSA the TIA (kwa sasa) wakati naanza niliowakuta pale walitupa hii stori. je Julius ndie alikuwa anaitwa Freeman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…