MWAKA 2000 HAUKUWA KARNE YA 21 !
Neno KARNE maana yake ni miaka MIA MOJA (100). Kwa hiyo, ukianzia kuhesabu siku ya mwanzo wa kalenda (ya Magharibi) tarehe 01/01/01 Karne ya Kwanza itamalizikia tarehe 31/12/100, Karne ya pili tarehe 31/12/200 na hivyo hivyo hadi Karne ya kumi itaishia tarehe 31/12/1000. Sasa ukiendeleza mtindo huo huo utaona kuwa Karne ya kumi na tisa ilianza tarehe 01/01/1801 na kumalizikia tarehe 31/12/1900. Hali kadhalika, Karne ya ishirini ni kutoka tarehe 01/01/1901 hadi 31/12/2000, yaani MWISHO WA MWAKA 2000 NDIYO ILIISHIA KARNE YA ISHIRINI, NA TAREHE 01/01/2000 HAUKUWA MWANZO WA KARNE YA ISHIRINI NA MOJA (21ST CENTURY) ambayo usahihi wake ni kuwa KARNE YA 21 ILIANZA TAREHE 01/JANUARI/2001!! Ili kufafanua zaidi hebu angalia:
Karne ya Kwanza: 01/01/01 hadi 31/12/01 - miaka 100 (1st Century)
Karne ya Pili: 01/01/02 hadi 31/12/02 - miaka 200 (2nd Century)
Karne ya Tatu: 01/01/03 hadi 31/12/03 - miaka 300 (3rd Century)
Karne ya Nne: 01/01/04 hadi 31/12/04 - miaka 400 (4th Century)
na kuendelea hadi kufikia Karne ya 17 - miaka 1700 (17th Century)
Karne ya 18: 01/01/1701 hadi 31/12/1800 - miaka 1800 (18th Century)
Karne ya 19: 01/01/1801 hadi 31/12/1900 - miaka 1900 (19th Century)
Karne ya 20: 01/01/1901 hadi 31/12/2000 - miaka 2000 (20th Century)
Karne ya 21: 01/01/2001 hadi 31/12/2100 -miaka 2100 (21st Century)
Kulikoni mataifa ya Magharibi na Kisomo chao chote na utaalamu wa Hisabati wa kupindukia walionao wakahadaa Ulimwengu wote kuita Mwaka 2000 ni Karne ya ishirini na moja? Isitoshe, dunia mzima ikahangaika KUBADILI KWA GHARAMA KUUUBWA KOMPUTA ZAO ILI ZITANZUE NA PIA KUOANISHA MABADILIKO KWENDA NAMBA MAPYA ZA 2..." WALIYOYAITA Y2K?? Kitu cha kushangaza ni kwamba hakuna nchi iliyoathirika kwa kutobadilisha komputa zao zote au kutofuata mapendkezo yote ya millennium bug (k.m. Italia na Korea ya Kusini), na hata watu binafsi wengi walishindwa kugharamia the migration to Y2K compliant systems/protocols lakini tarehe 01/01/2000 komputa zao zikafanya kazi kama kawaida. Au huu ulikuwa ni mradi wa kibiashara kuuza teknologia yao pamoja na Computer softwares & accessories zao ?
The Year 2000 problem (also known as the Y2K problem, the millennium bug, the Y2K bug, or simply Y2K) was a notable computer bug resulting from the practice in early computer program design of representing the year with two digits. This caused some date-related processing to operate incorrectly for dates and times on and after January 1, 2000 and on other critical dates which were billed "event horizons". This fear was fueled by the attendant press coverage and other media speculation, as well as corporate and government reports. People recognized that long-working systems could break down when the "...97, 98, 99..." ascending numbering assumption suddenly became invalid. Companies and organizations world-wide checked and upgraded their computer systems. While no significant computer failures occurred with global significance when the clocks rolled over into 2000, preparation for the Y2K bug had a significant effect on the computer industry. The fact that countries where very little was spent on tackling the Y2K bug (such as Italy and South Korea) fared just as well as those who spent much more (such as the United Kingdom and the United States) has generated debate on whether the absence of computer failures was the result of the preparation undertaken or whether the significance of the problem had been overstated.
Source: WIKIPEDIA http://en.wikipedia.org/wiki/Y2K
Mnasemaje wataalamu wa IT na wasomi kwa jumla??