Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Sasa na wewe ni mzee au unatafuta watoto wenzio?Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza.
Haya twende tiririka.
π€£π€£π€£kuna vitoto humu kumbe ndio maana siku hizi upuuzi mwingi jamii forums..
AiseeMimi naanza nilikuwa darasa la kwanza.
Haya twende tiririka.
Mie tayarii zamani nishatia nanga kwa George Bush...Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza.
Haya twende tiririka.
daah kweli i see miaka inakimbia si mchezoMiaka 29 sasa huyo..mtoto huyo??
Kweli nimezeeeka walai uwiiii!![emoji848][emoji848]Darasa la 2
42 mbona bado young man kabisa...yaani wala hamna shida yoyote ile na mbususu inapelekewa moto vizuri kabisaππ Wee bado unadai sana. Wamezeeka kina mzabzab
ππ Eti ee, hongera.42 mbona bado young man kabisa...yaani wala hamna shida yoyote ile na mbususu inapelekewa moto vizuri kabisa
Tulinde afya zetu mazoezi muhimu. Minimum kidume unapaswa kufika miaka 70ππ Eti ee, hongera.
Khaaa πNamba B za mwanzo
Za mwanzo AAANamba A