Mwaka 2005 nilishuhudia kupatwa kwa jua (solar eclipse)

Mwaka 2005 nilishuhudia kupatwa kwa jua (solar eclipse)

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Mwaka huu kutatokea tukio la kupatwa kwa jua ila kwa huku Tanzania hatutaliona vizur kama watu wa Mexico na Marekani

Ila imekunimbusha tukio kama hili nililishuhudia na nikiwa na utimamu wa akili kuanzia mida ya saa saba mpaka saa tisa kulikua na kivuli flani hivi japokua jua lilikua linawaka na hakukua na mawingu yeyote

Ni matukio ambayo sitakaa niyasahau tuliyasoma tu shuleni ila nilikuja kuyaona na ile namna kulikua na kivuli kuanzia mida ya saa saba mpaka saa tisa mchana sitakaa nisahau
 
Back
Top Bottom