MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Lol shishi ulivyojibu utafikiri ni paper lazima ulifanye lol anyway Merry Xmas my sisy (hivi we si ni she vile?)wacha nitafakari kwanza nitarudi...hii thredi inakaa kama ingine ya Geoff ilishika wakuu pabaya!!!!
Lol shishi ulivyojibu utafikiri ni paper lazima ulifanye lol anyway Merry Xmas my sisy (hivi we si ni she vile?)
Mwaka 2009 ndo unaishia hebu kaa chini utafakari nini umeachieve katika idara hii ya mahusiano:
1. Umemfanyia nini mpenzi/mke/mume/nyumba ndogo/serengeti/buzi lako ambacho unawezaita ni achievement?
2. Huyo mwenzio amekufanyia nini either kukufurahisha au kukubore?
Lol shishi ulivyojibu utafikiri ni paper lazima ulifanye lol anyway Merry Xmas my sisy (hivi we si ni she vile?)
wait a min........mjini kutamu aisee....vitoto vimefunga shule basi ishu zinakuwa mpango mzima.....full shangwe kugusa tu.....Mwaka 2009 ndo unaishia hebu kaa chini utafakari nini umeachieve katika idara hii ya mahusiano: