Mwaka 2015 Blill Gates alitabiri kutokea vifo vya maangamizi ambavyo visingetokana na vita bali kirusi.

This is Crap and baseless. Only fools will agree
You mentioned Obama? Ulisahau hata kumfuta na kumuweka Trump.
Thats holy Crap
 
Umejisumbua bure kuweka hii post sijasoma hata nukta
 
Hivi mambo ya ovyo kama haya huwa mnayatoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blill Gates[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Kweli ubinadam kazi kweli
Acha chanjo hiyo ije wakatayo ipiga waipige
Nyie msiyoitaka msipige

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa.
Watu wanajifanya wajiaji wa hadithi za kufikirika sana.

Yaani wao na familia zao wako busy kupata chanzo za Polio, TB, Pneumonia na wakiumwa Malaria, TB, HIV bado wanakimbilia hospitali kupewa dawa za bure, halafu wanasahau kabisa vitu vyote ni msaada kutoka kwenye pesa za Bill Gates nk.
 
Huyu jamaa inabidi afe..
 
Hiki kirusi ni man made. Whether katengeneza bill gate or not. Walishapanga kukiachia. Ni kama movie.

Sent From Galaxy S9
 
Wasabato tuna kazi sana, tupo so delusional.
 
Huyu jamaa aliamua kutupanga mapema ili baadae aje kuuza dawa,anajua chanzo cha yote haya. Asilimia kubwa matajiri ni makatiri sana wanawaza hela tu.

macson
Wewe na wengine wenye mawazo kama yako mkipewa maabara na fedha za kutosha ili mfanye utafiti kuhusu chanjo za magonjwa mtaishia kutoka kapa kwa sababu mmewekeza akili zenu na nguvu nyingi kwenye vitu vya kufikirika(tetesi)
 
Tukisema kautengeneza tutakuwa tumekosea? Tena tukiunganisha dots na kulazimisha test ya kinga iwe afrika tutakosea?
Sasa hivi wajasiriamali wakubwa duniani wanawekeza ktk maisha ya watu wawe matajiri zaidi. Wakitengeneza janga na kulisambaza kisha wao wenyewe ndio wwe na formula ya dawa ni kwamba hamna namna bali kuwapigia magoti/ kununua dawa hizo toka kwao na kuwatajirisha zaidi.
 
Eti 5G inatengeneza virus, hebu kuwa serious kidogo halafu nenda kapige shule ujue how Radio Frequency works.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waganga wa kienyeji awakuliona hili? Sasa lipo waganga jitokezeni muaminishe wateja wenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…